IDEA PRESENTERS ONLINE REGISTRATION

HABARI NJEMA

Chuo kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kupitia NDAKI YA MASOMO YA BIASHARA NA INSIA kinatangaza habari  njema kwa wanafunzi wote na wadau wote nje ya MUST; Kuwa Jumatano20.01.2021 itakukuwepo sherehe kubwa Sana ifaamikayo Kama MANAGERS' DAY, ambayo hutokea Mara moja tu kwa mwaka.

Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW

MANAGERS'DAY Ni nini? 

Hii Ni siku maalum ambapo wakurugenzi wa makampuni makumbwa toka pande nyingi za Tanzania hualikwa kufika kafika Chuo kikuu Cha Sayansi na Teknonolojia (MUST) (The home of science) kwa lengo Zima la ku-motivate, ku-insipire, kutangaza fursa mbalimbali za kiuchumi zilizopo, kufadhiri wanafunzi wabunifu, ku-support wanavyuo wenye mawazo mbali mbalimbali ya kibiashara ama kisayansi na zaidi ya yote kubadilishana mawazo na wanavyuo kwa kuwapa mtazamo kamili wa maisha hasa katika sekta ya kuajiriwa na kujiajiri.


Nini Asili ya MANAGERS'DAY EVENT??

Hii Ni event iliyodumu kwa kipindi kirefu sasa takribani miaka 5+, na event hii ilikuwa ikiadhimishwa na wanafunzi wa "BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION" Mpaka kufikia 2019.

Click here to register your business/scientific/ innovation idea NOW

Kwa mwaka 2020 event hii ilibidi ifanyike 03 May, 2020 kutokana na Gonjwa hatari COVID-19 ikawa imeshindikana kuwepo.

Kutokana na uongozi wa chuo kutambua Kuwa Kila mwanafunzi Ni msimamizi wa maisha yake "manager of her/his own life" chuo kimeona ulazima wa kuifanya event hรญi Kuwa ya wanafunzรญ wote ili kusaidia vijana wote Kuwa na nafasi sawa katika kukuza vipaji vyao na kutambua na kukuza fursa mbalimbali katika jamii. 

Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW

Na kupitia event hii wanafunzi wabunifu waweze kutumia uwezo wao wa kibunifu katika kutengeneza kipata Chao hata wakati wanaendelea na masomo ili kupambana na wimbi la ukosefu wa ajira mitaani.

WAGENI GANI WATAKUWEPO??

Chuo kimefanikiwa kualika zaidi ya makampuni 50, toka pande mbali mbali za Tanzania ili kufika chuoni siku hiyo mfano; TBL, COCA COLA KWANZA, VODACOM, AIRTEL, CRDB, TANROAD, BLERA, NHIF, NMB, NBC, TTCL, AIR TANZANIA, SGA, MALEMBO FARM, AZANIA BANK, EXIM BANK, DUBAI COMPUTERS ACCESSORIES, DUBAI TECNO CENTRE, ALL RICH SANAA, (............) Na mengine mengi.

Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW

Vile vile tutegemee kuwa na viongozi mbali mbali wa selikari Kama wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wabunge etc. Pamoja na wafanyabiashara, wajasiriamali wengi.Click

 here to register your business/scientific/innovation idea NOW

TUTEGEMEE NINI SIKU YA EVENT??

Ratiba zitatolewa badae...!! Lakini siku hiyo itakuwa Jumatano, 20.01.2020 na event itaanza saa 4 asubuh mpaka jioni, hivyo kwa siku hiyo itatumika kunasa fursa mbali mbali za maisha.

Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW

Vile vile there will be IDEA PRESENTATION PROGRAM, ambapo watakaokuwa wamesajiliwa kupresent idea zao watapewa nafasi ya kuwasiliana idea zao mbele ya watu zaidi ya 1200 (hakikisha unajisajili Leo kupitia maneno ya njano hapo juu, bonyeza tu✍️), na pia Kila mshiriki kwa kuwasilisha idea yake atapewa zawadi nono kulingana na idea yake (hivyo tumeandaa TRAINING PANEL Makini kwa ajili ya kuwanoa wote watakaokuwa na mawazo ya kibunifu, kuhakikisha wanakuwa maridadi katika kuwasilisha idea zao mbele ya Umati mkubwa was watu na katika uwepo wa wageni wa kitaifa, na trainings hizo zitaanza Mara tu chuo kikifunguliwa rasmi.) pia washindi hao wenye ideas Kali wataweza kupata sponsorship kutoka kwa Makapuni mbali mbali, ambapo kazi moja wapo ya SWI GLOBAL FAMILY FOUNDATION Ni kutengeneza connection nzuri Kati ya idea owners na company managers and CEOs & MDs ili kusaidia uwezekano wa sponsorship.

Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW

Vyakula, vinywaji T-shirts, burudani na mafunzo kedekede, business ideas presentation ...gifts na Mambo mengi mno vitakuwepo siku hiyo.....

Tumealika wanafunzi wa vyuo mbalimbali vikuu na vya Kati,,, pia shule za sekondari zitakuwepo e.g UDSM , CUCOM, MZUMBE, TIA, St. Mary's international schools, St. Francis secondary schools, UWATA secondary schools na tasisi zingine nyingi ambapo na hizo taasisi zimeomba kushiriki katika idea presentation ... So expect great things on that day.,.. hakika ugeni utakuwa mkubwa na mkubwa Kweli Kweli.

Na siku hiyo tutafungua rasmi chama Cha wajasiriamali ambacho kitakuwa kikitengeneza fursa mbalimbali ikiwa Ni pamoja na ku monitor biashara na mirado mbali mbalimbali ya wanachama na chama hiki kitajihusisha na Utafutaji wa mitaji, ufadhili, na mikopo ya biashara ili tuweze kuleta mabadiliko ya Hali ya juu na KUIFANYA MUST KUWA CHUO BORA ZAIDI TANZANIA...(Tarifa zaidi kuhusu chama hiki zitafika mda mhafaka.)

Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW


Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW 

kwa maelezo zaidi wasiliana na CRs na MPs wa madarasa na college husika kwa tarifa zaidi........ Mwisho wa round one registration ni 05.11.2020 kwa ajili ya kushiriki katika idea presentation......

Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW

wahi nafasi Ni chache yaani unapresent wazo lako๐Ÿฅฐ alafu unapewa zawadi na ukishinda unapata sponsorship  we hii uliona wapi eee๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…





UNASUBIRI NINI SASA,,,,, BONYEZA CHINI KUJISAJILI

Click here to register your business/scientific/

innovation idea NOW


"Create your future today, life is too short" -Octavian Muyungi, CEO



Kindly Call us for help directly via, CEO 0713-205-455


๐Ÿ”‚asante, karibu tena๐Ÿ”‚
MPENDWA GLOBAL FAMILY FOUNDATION INAJALI MAFANIKIO YAKO
TUNAZIDI KUKUSHUKURU KUENDELEA KUWA NASI
⌚#ISHI NDOTO YAKO LEO⏰



Tunaendelea na kuandikisha watu wenye vipaji (TALENTS)mbali mbali kupitia online system,  lengo letu ni kuwa support  iwezekanavyo ili waweze kufikia ndoto zao,, ni sisi tunaofatilia maendeleo yako mwisho wa usajili  utakamilika itakapofika namba ya watu wanaohitajika.  USIKOSE FURSA HII HAITATOKEA
 TENA๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค ...... ๐Ÿ‘‰ CLICK HEREto attend online  for your self .

Unaweza  ku-comment!, kuuliza Swali lolote na ku-share.

Ni sisi tunaojali mafanikio yako!



CONTACTS:
phone call:  +255747787796
WhatsApp: Just click๐Ÿ‘‰ HERE   To automatically open whatsApp online service
Website: ๐Ÿ‘‰Click HERE    To open the Site


Email: ๐Ÿ‘‰ Click Here










Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA SAID SALM BAKHRESA

MAMBO YALETAYO FURAHA YA KWELI MAISHANI

MBINU KUU 4 ZA KUWA MBUNIFU KITAALAMU ZAIDI