Posts

Showing posts with the label Sociology

Sifa za Mwanamke afaaye kuwa MKE Mwema.

Image
New 🌄 Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. UPENDO WA DHATI Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzunguka. Tabia ya upendo

IDEA PRESENTERS ONLINE REGISTRATION

Image
HABARI NJEMA Chuo kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kupitia NDAKI YA MASOMO YA BIASHARA NA INSIA  kinatangaza habari  njema kwa wanafunzi wote na wadau wote nje ya MUST; Kuwa Jumatano ,  20.01.2021 itakukuwepo  sherehe kubwa Sana ifaamikayo Kama MANAGERS' DAY, ambayo hutokea Mara moja tu kwa mwaka. Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW MANAGERS'DAY Ni nini?  Hii Ni siku maalum ambapo wakurugenzi wa makampuni makumbwa toka pande nyingi za Tanzania hualikwa kufika kafika Chuo kikuu Cha Sayansi na Teknonolojia (MUST) ( The home of science ) kwa lengo Zima la ku-motivate , ku-insipire , kutangaza fursa mbalimbali za kiuchumi zilizopo, kufadhiri wanafunzi wabunifu, ku-support wanavyuo wenye mawazo mbali mbalimbali ya kibiashara ama kisayansi na zaidi ya yote kubadilishana mawazo na wanavyuo kwa kuwapa mtazamo kamili wa maisha hasa katika sekta ya kuajiriwa na kujiajiri. Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW Nini Asi