TARIFA ZA UTAFITI Na Prof. Schleiden & Monica Mathias ''Kazi hupatikana kazini'' --Prof. Joyce Ndalichako, watu 60,000,000 ndio idadi inayokadiliwa kuwa ndio raia wa Tanzania kufikia februari, 20 20 . U tafiti ulio fanyika Februari, 2020 unaonyesha kuwa chini ya 25% [yaani watu 15,000,000] ya watanzania wote ni waajiriwa katika sekta mbali mbali za serikali na biafsi ambapo nafasi kubwa ya waajiriwa wote ni walimu na wahudumu wa afya. Utafiti unaonyesha nchi inajumla ya waajiri chini ya 3% yahani watu karibia 1,800,000] ili ni kundi la wakugurugenzi wa makampuni na wamiliki wa makampuni/ tasisi hawa ndo matajiri wa nchi wanaotoa ajira kwa wananchi. Pia utafiti unaonyesha 57% [takribani watu 34,200,000 ] ya watanzania wote wamejiajiri ambapo katika kundi hilo walio wengi ni wakulima, wafugaji na wavuvi, na utafiti unaonyesha kuwa 10% [takribani watu 6,000,000 ] hawana ajira kabisa yahani wanaweza maliza hata mwezi mzima bila kuingiza hat