MFAHAMU FLAVIANA MATATA MPAMBANAJI TOP
MPAMBANAJI MSHINDI Na prof.schleiden & Monica Mathias ''Mstakabali wa maisha ya mtu huwa ni kwa namna gani umelelewa'' Ni huzuni sana Flaviana Matata alimpoteza mama ake mpendwa katika hajali ya MV BUKOBA iliyotokea 1996, kwakweli hili lilikuwa pigo kubwa sana kwake na ilionekana ingekuwa sababu ya kupoteza matumaini kwenye maisha kwa hiyo alilelewa na baba tu na kuyakosa mapenzi ya mama. alisoma chuo cha Arusha [Arusha Technical College] Aliwaza kuwa injinia lakini kwa sababu ya maisha magumu mwaka 2007 alianza umisi na ndoto ya uinjinia ikafa. iliwashangaza sana watu kuona mtu aliyewaza uinjinia anaanza umisi lakini ndiyo iliyo kuwa ndoto yake kubwa tangu zamani. Global Family Foundation imekuletea maisha ya mwanadada hasa kwa wapambanaji wote wanaotaka kufanikiwa , kuona ni namna gani mafanikio ya kweli yanaweza kuja, mwanadada huyu awe mfano wa kuigwa na kila mtu apate kujipongeza kwa kutoa mchango wa maendeleo nchini kwake .