HISTORIA YA SAID SALM BAKHRESA

BILIONEA NAMBA 3 TANZANIA

Na Prof.Schleiden & Monica Mathias

''Nilishona viatu kariakoo, Nililala kibarazani''--Bakhresa, Ndugu mwanafamilia kumbe kwenye maisha kila kitu kinawezekana, kamwe usimdharau Mtu, hata kama leo anafanya kazi ya chini kiasi gani! kwakweli, tumeamini mambo yanabadirika,  mtu unayemcheka na kumsimanga leo kwenye tasisi / kiwanda baada miaka ndo atakuwa boss wako. huwezi amini Bakhresa miaka ya  1957 aliyeonekana masikini wa kupindukia mpaka akaamua kuacha shule akiwa na miaka 14 lakini leo 2020  watu zaidi ya 5,000,000 [Milioni 5] katika nchi 5 wanategemea makampuni yake ili kuendelea kuishi!

Mpendwa mwanafamilia wa Global Family Foundation sisi ndio tunaojali mafanikio yako, siku ya leo tumekuletea bilionea orijino wa kitanzania ambaye maisha yake yalikuwa magumu vibaya sana, yahani ambaye nyumbani kula ilikuwa bahati nasibu kwa miaka ya 1950, lakini kwa leo ni moja ya mashujaa 3 kati ya watanzania zaidi ya 59,000,000 (Milioni 59) Tanzania, ana makampuni zaidi ya 25, Tunaamini ukitufuatilia vizuri kuna siku utayakumbuka maneno yetu..... hakika umezaliwa kwa ajili ya ushindi, twende sambamba tuone namna gani mzee wetu Bakhresa alivyo upindua umasikini na kuwa the boss, ili na wewe upate tumaini zaidi katika maisha.

Bwana BAKHRESA

Bakhresa Alizaliwa mwaka 1949 katika Zanzibar, alizaliwa kwenye familia masikini kabisa, alisoma shule ya msingi ya kawaida sana na alipofikisha umri wa  miaka 14 akaamua kuacha shule maana nyumbani umasikini ukawafika shingoni, akaamua aache shule.

Bakhresa  akiwa kijana mdogo sana anayeishi ndoto yake alianza kutafuta mabaki ya baharini kama mifupa,konokono na magamba na kuviuza kule mombasa ilipopata hela kidogo alipeleka nyumbani ili wakanunue chakula kidogo maana baba ake alikuwa amekabiliwa madeni kibao, maisha magumu! hapo ilikuwa miaka ya 1960 Tanganyika na Kenya zilipokuwa nchi wabepari.

Miaka ya 1970 Bakhresa alipata hela kidogo akanunua ngozi na uzi ya kushona viatu na cross huko Mombasa Kenya na kuelekea kariakoo DSM na kuanza ushonaji wa viatu, alikuwa na matumizi mazuri ya hela.

Mapato ya Bakhresa aliyopatikana kwenye kushona viatu alitoa kiasi akamtumia baba ake alipe madeni nyumbani, lakini pia aliweza kufungua biashara ya viazi vitamu, mikate na Ice Cream , alihishi ndoto yake sana, hapo alikuwa Kariakoo.

Kwenye miaka ya 1970, alifungua biashara ya mgahawa, mgahawa huu aliununua kwa mhindi huko DSM, Na alitumia neno ''AZAM'' kama nembo yake.

kwenye miaka ya 1990 aliaanza uwekezaji katika viwanda vya nafaka, baada ya hapo Bakresa akaanza kuwa tajiri mkubwa, bidhaa zake zikaanza kusambazwa ndani na nje ya nchi, kufikia 2020 anamiliki Makampuni ya Azam [Azam Group of Companies]

mchele, ngano, ice cream,mafuta,mahindi, soda, juisi, tambi,  vifaa vya usafiri baharini na nchi kavu, clabu ya mpira wa miguu, hotel za kimataifa, vyombo vya habari, sasa hivi anamakampuni katika Tanzania, Malawi, Burundi, Rwanda ,Zambia na msumbiji.

Leo hii Bakhresa ni Bilionea namba tatu Tanzania akiwa na uchumi zaidi ya Dola Billion 512, na anatoa ajira zaidi ya 2000 kwa watanzania, ikumbukwe yeye hakuwahi kusoma chuo kikuu ila ni mtu aliyekuwa na maono na kuishi ndoto zake!Na mzee wetu amekuwa mstari wa mbele kuchangia kwenye huduma nyingi mno za kijamii ikiwa ni pamoja na kuwasaidia masikini na wasiojiweza,,na nivigumu sana kumuona huyu kamanda wetu ingawa ni mzee sasa ila yupo kazini mda mwingi sana.


Ndugu mwanafamilia, hakuna lisilowekekana kuishi ndoto zako ndilo jambo la msingi unaweza kusoma vyuo vya kimataifa lakini bado ukaishi kimasikini we ona Bakhresa hakuwa soma chuo kikuu ila anawaajiri wasomi wakubwa! Ishi ndoto yako leo, jifunze kuwa unachotaka maisha haya mafupi mno.

kamwe usidharau kazi, na usifanye kazi moja milele yote, kujitahidi kujishughulisha na kupambana ndipo mafanikio yanatokea, acheni kukomaa na vitabu vyuoni/shuleni ukirudi mtaani utapigika maana mambo yamebadilika, msomi wa 1980 sio wa 2020, enzi za 1980 kumaliza tu kidato cha sita mtu alikuwa na uhakika wa ajira ila kwa leo utamaliza chuo kikuu hamna ajira,,,mambo yame badilika tuwe tayari kubadilika.

Kamwe usimdharau mtu unaye mcheka leo  uenda ndo Rais wa kesho, sasa hapo ndo hutajuta,,,,unayemuonea leo ndo boss wako kesho, maisha haya yaache hivyo watu wanofanikiwa ni watu wanaoishi maisha yao, kuigiza sio kuzuri.

πŸ”‚asante, karibu tenaπŸ”‚
MPENDWA GLOBAL FAMILY FOUNDATION INAJALI MAFANIKIO YAKO
TUNAZIDI KUKUSHUKURU KUENDELEA KUWA NASI
⌚#ISHI NDOTO YAKO LEO⏰



Tunaendelea na kuandikisha watu wenye vipaji (TALENTS)mbali mbali kupitia online system,  lengo letu ni kuwa support  iwezekanavyo ili waweze kufikia ndoto zao,, ni sisi tunaofatilia maendeleo yako mwisho wa usajili  utakamilika itakapofika namba ya watu wanaohitajika.  USIKOSE FURSA HII HAITATOKEA
 TENA🎀🎀🎀 ...... πŸ‘‰ CLICK HEREto attend online  for your self .

Unaweza  ku-comment!, kuuliza Swali lolote na ku-share.

Ni sisi tunaojali mafanikio yako!



CONTACTS:
phone call:  +255747787796
WhatsApp: Just clickπŸ‘‰ HERE   To automatically open whatsApp online service
Website: πŸ‘‰Click HERE    To open the Site


Email: πŸ‘‰ Click Here








Comments

  1. Kweli yaani huyu mzee nilikuwa namsikia tuu!!!sasa nimemjua ..nafanyia kazi hili funzoo

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAMBO YALETAYO FURAHA YA KWELI MAISHANI

MBINU KUU 4 ZA KUWA MBUNIFU KITAALAMU ZAIDI