NGUZO KUU 8 ZA MAFANIKO KATIKA JAMBO LOLOTE
MAFANIKIO YAKO FURAHA YAKO
Na Prof. Schleiden & Monica Mathias
"We are born for winning, never for_losing"_ni_Kauli_ya_Mohammed_Dewij. Hakuna binadamu Yeyote aliyeko duniani kwa bahati mbaya! Kila mtu yupo kwa sababu maalumu tofauti na mwingine ndio maana kila mtu ana finger print" ya kitofauti kabisa! Na hivyo hii inaashiria wewe una lengo lako la kuwepo Dunian tofauti kabisa na mtu mwingine yeyote yule. (Ni kwa namna gani unauishi utofauti wako?....utofauti wako ni nini?.....una uhakika gani katika hilo?,,,,,,,
usiteseke nitakufunulia yote hapa,,,,umezaliwa kwa ajili ya ushindi!ππππππππππππππππππ
Mafanikio ni hatua ambayo mtu huwa amefikia ukamilifu wa natarajio yake katika jambo fulani, ambapo hatua hii umwezesha kuwa na furaha na ukamilifu kimwonekano (physically) na kifikra (mentally) na Kiroho (spiritually).
Duniani kila mtu anataka kufanikiwakufurahi na hivyo kila mtu hujishughylisha katika jambo flani ili aweze kufanikiwa na kupata furaha!
Watu wengi wameshindwa kufikia mafaniko yao kwa sababu ya kukosa NGUZO IMARA katika jitihada zao,,,,zao.
SWI GLOBAL COMPANY kupitia GLOBAL FAMILY MEDIA imekusogezea nguzo kuu 8 zitakazo kuwezesha kufanikiwa katika jambo lolote ambalo unaamini litakuwa chanzo cha furaha katika maisha yako na kukufikisha katika Ndoto zako!
""Get free freely knowledge! Don't skip a part!""
Mafanikio ni hatua ambayo mtu huwa amefikia ukamilifu wa natarajio yake katika jambo fulani, ambapo hatua hii umwezesha kuwa na furaha na ukamilifu kimwonekano (physically) na kifikra (mentally) na Kiroho (spiritually).
Duniani kila mtu anataka kufanikiwakufurahi na hivyo kila mtu hujishughylisha katika jambo flani ili aweze kufanikiwa na kupata furaha!
Watu wengi wameshindwa kufikia mafaniko yao kwa sababu ya kukosa NGUZO IMARA katika jitihada zao,,,,zao.
SWI GLOBAL COMPANY kupitia GLOBAL FAMILY MEDIA imekusogezea nguzo kuu 8 zitakazo kuwezesha kufanikiwa katika jambo lolote ambalo unaamini litakuwa chanzo cha furaha katika maisha yako na kukufikisha katika Ndoto zako!
""Get free freely knowledge! Don't skip a part!""
NGUZO KUU NANE ILI KUFANIKIWA KATIKA JAMBO LOLOTE:
1. GOD OVER EVERYTHING
Watu wengi sana hawajafanikiwa kufikia ndoto zao kwa sababu hawakumtanguliza Mungu kama Mwanzo na mwisho wa kila kitu.
Mungu mwenyewe anajua kila kitu kabla hujazaliwa alisha kufahamu .... Kumbe sasa una kila sababu kumtumainia Mungu na Kuwa na imani naye mda wote.
Sali sana kila uwezapo mwamini yeye na Mtangulize yeye ""God helps only the hamble ones who trust and cry to him day and night"---Pope John Paul II
2. SELF AWARENESS:
Ili ufanikiwe katika jambo lolote kujitambua ni swala kubwa na la msingi kupita kitu chochote, na hapa inabidi kuwa na adabu kwa kiwango cha juu kabisa yahani kujua uongee nini kwa nani, uvae vipi, utembee vipi, unyoe vipi, ...nk.
"the rich poeple in the world set 25% of their free time for personal meditation" - lary page (google company founder)
Ndugu kila siku jitengenezee mda wa mapumziko kila siku na chukua wala 25% ya mda wote wa mapumziko ukijitafakari na wakati mzuri ni jioni ama usiku. Trust me utajikuta unabadilisha maisha yako kwa kiwango usichotegemea.
Kuwa na hekima ni kiashiria cha kuwa una jitambua na hivyo utaweza kujua madhaifu yako ni yapi!? Na uwezo wako ni upi na kwa mantiki hiyo utaweza kujijengea falsafa ya thamani katika maisha ambayo itaweza kukupa mtazamo (vision) katika jambo unaloliweza, vile vile utaweza kugundua fursa nyingi zilizo kuzunguka na utaweza kuzitumia na kupata furaha ya kweli!
Jiepushe na mambo yasiyo ya lazima kama kulaumu watu, kupoteza mda kwa kulala lala, mapenzi yasiyo na msingi wa kufika katika ndio, dhalau, unafiki, utegemezi,usengenyaji, ,n.k
"Judge an action by its destination"--Jeff Bezos ( the Richest man In the world $125Billion)
Dhana ya Jeff Bezos inatufundisha kuwa katika kila jambo ufanyalo angalia mwisho wake nini? Je unafaida yoyote unapata?
Mfano kama upo kwenye mahusiano ya mapenzi angalia mahusiano yenu yanalenga kufikia ndoa? Kama sivyo jitambue huna haja ya kuendelea kuwako ogopa kuidanganya nafsi yako! ""If you need the best, do the best, if you are respected respect yourself all good ones come in time""----Nelson Mandela
"The poor ones have excessive love but have no money, the rich have money but have no excessive love""----Robert Mugabe
Kama Unatamani kuwa engineer jiulize mahesabu unayaweza kama sivyo huna budi kubadilisha mtazamo!
Kama unataka kuwa tajiri mkubwa angalia unajishughulisha vipi na uwezekezaji?....ukiona hauwekezi anza leo kutengeneza investment plan vinginevyo utakwama.
Kama unataka kuwa kiongozi wa watu? Jitafakari namna gani unaishi na watu!
Kama una ndoto yako anza kuishi ndoto yako leo, maendeleo huja taratibu, usipende maendeleo ya gafla ""whatever comes by chance goes off (disappears) by chance""-----Isaac Newton
Jiulize wale washinda mamilion ya BIKO tangu miaka hiyo wako wapi? Wengine hela walizitafuna ndani ya miezi zikaisha,,, usipende utajiri/maendeleo ya ghafla.
Trust me! Ukiweza kujitambua utajua utajiri mkubwa uliofichika ndani yako na utaweza kufanya maajabu makubwa mpaka watu watakushangaa!
Ndani yako kuna utajiri mkubwa ambao utaugundua ikiwa utajitambua na kuishi ndoto zako.
Ndugu mpendwa ukisha jitambua na kugundua uwezo wako na madhaifu yako Sasa inabidi pia ujue thamani halisi ya kuheshimu muda pamoja na matumizi ya fedha.
Jipangie ratiba kuwa unalala saa ngapi na unaamka saa ngapi? Na wakati wa mchana unafanya kazi saa ngapi mpaka saa ngapi na katika kila unacho fanya unapata faida kiasi gani.
""Time the Time Before The Time Times You" --Prof. Franklin Benjamin. Ikumbukwe kuwa unaweza kusubiri mda, ila mda hauwezi kamwe kukusubiri , ukisha jitambua weka malengo yako sasa anza kuyafanyia kazi
"Wakati unaokubalika ni sasa"" Uliwezalo leo lisingoje kesho"" umaskini mwingi wa kiafrica ni kwamba watu wengi wanaishi katika matamanio wanashindwa kuanza kutimiza malengo yao wakati mda upo mbiooooo!......
Leo hii watu wanapoteza mda mwingi kwenye mitandao ya kijamii badala ya kufanya kazi kumbuka mda ukienda haurudi "Things can't be retrieved Time wasted, word spoken, an opportunity lost""----Socrates the world philosopher
Tumia mitandao ya kijamii kwa malengo ya kijamii sio kwa mazoea "low class men make friends who will make them appear in social media status but the intelligent men find friends who will change their life status"*---Nape Nauye
asee ndugu jiamini ishi malengo yako... Kama unataka kuwa tajiri kuwa makini na matumizi ya fedha ...kamwe usinunue kitu nje ya bajeti, .""the poor know what they need after getting money while the rich know what they need before getting money""---Nelson Mandela
4. KNOW AND LIVE IN YOUR TALENT
A talent is a supreme original modifiable non-destroyable capability that exist in one's ability""
Kipaji ni uwezo wa asilia alionao mtu katika kufanya jambo kwa usahihi, kipaji kipo ndani ya uwezo wa mtu na mtu hazaliwa nacho , huwezi kujitengenezea kipaji na huwezi kuharibu kipaji ila waweza kukiendeleza au kukidumaza"
Kipaji chako = kipato chako = utajiri wako.
"A talent can neither be created any more nor destroyed but can be modified / depressed depending on mental & physical & spiritual factors"" - professor Schleiden(octotalentology)
Watu wengi hawatambui vipaji vyao kwa sababu ya kukosa mda wa kujifanyia self evaluation kuona uwezo wao u katika jambo gani, kimsingi ukiishi kama wewe baada ya kujitambua hakika utaweza kuona mtazamo wako katika maisha na utaweza kugundua vitu ambavyo unaweza ukavifanya vema kwa ajili ya mafanikio.
Mfano kuna vipaji vya mziki, mpira, sanaa za ususi, utafiti wa kisayansi, kuongoza watu, n.k....ukiona unapendelea sana jambo fulani jitahidi kushiriki katika jambo hilo kwa nguvu , zote, uwezo , wote, nia dhabiti, na ukiwa tayari kwa chochote, na hapo utaweza kugundua na kukuza kipaji chako, kumbuka kila aliyefanikiwa katika maisha alijitahidi kuishi kama yeye bila unafiki na alikuwa na msimamo katika mambo yake kwa kujali thamsni ya mda namatumizi ya fedha. Kama unataka kufanikiwa fahamu na endeleza kipaji chako kuanzia leo, usingoje mda hauna subira.
5.CONTINUOUS POSITIVE STRUGGLES
Ikiwa Umegundua kipaji chako halisi kuwa tayari kutumia kila aina ya uwezo ulionao kuendeleza kipaji chako, au biashara, project yako. Huu niwakati mgumu zaidi utakutana na changamoto rukuki (be ready to risk as long as you have a positive vision).
""Running from the problem is not a solution for the problem""----plato
Watu wengi wakifika hatua hii huanguka vibaya sana kwa uwezo wa kuendelea mbele zaidi, kwa sababu hiki ni kipindi cha kutumia uwezo mkubwa kiakili hata kifedha maana hapa ndo kipaji chako kinakuwa kinaelekea kuanza kukulipa,
Ndugu msomaji kamwe usikate tamaa kwenye maisha kuwa tayari kwenda sawa na changamoto unazokutana nazo. "Make all challenges you face as opportunities for your developmental plan"---Prof. Schleiden
6. DECISION MAKING:
Siku zote kuwa makini na maamuzi uyoyafanya juu ya mradi/kipaji/biashara yako,,, ikitokea ukafanya maamuzi yasiyo sahihi basi huo ndo utakuwa mwanzo wa kushindwa kwenye mradi wako, ""life is full of choices, in whatever you think, you become what you decide (choose)"" ----Drake a musician in Canada
Unavyofanya maamuzi fanya maandalizi ya kutosha, jiandae kisaikolojia, omba ushauri, tengeneza mazingira ya kufanya maamuzi sahihi....hakika utakapofanya maamuzi sahihi unajiengenezea mazingira mazuri kwa ajili ya mafanikio. ""What you decide determines what you plan""--Albert Einstein
7. FREQUENT EVALUATION & READY TO RESET PYSCHLOGY :
Siku zote usisite kupima maendeleo ya mradi / biashara yako ufatiliaji ufanyike kila mara kuakikisha mfumo wako unaenda kadri ya malengo yako,,,
Ikitokea ukaona mradi wako unaingiza faida kidogo sana mbali na matarajio usikate tamaa! Ila kuwa tayari kubadili mtazamo uenda kuna sehemu ulikoseaulikosea ""No human being is perfect, hence nothing will ever be perfect"" --Prof. Honest Mgowi
Tangu kuumbwa kwa binadamu, binadamu hakuwahi kuwa mkamilfu basi usitegemee kitu chochote kutoka kwa binadamu kuwa kikamilifu ...waenga wanasema "Mtoto wa nyoka ni nyoka" hivyo huwezi kupata kikamilifu kutoka kwa kisicho kikamilifu,,,, '"we only give what we have""--Barack Obama
Ukifanya evaluationi na kukuta matokeo usotegemea pointi ni kubadilisha mtazamo na kusonga mbele, kamwe usirudi nyuma.
""The rich ones of the world are those whowere ready to change their thinking if you are not ready to loose (risk) you can't gain"--Jakaya Mlisho Kikwete
8.THE TYPE OF FRIENDS YOU HAVE:
Watu wengi wamekuwa wakijisifu kwa kuwa na marafiki wengi,,,one said I have 24,000 Facebook friends then I questioned her can you tell me atleast 100 out of 24,000 facebook friends how help you to meet your dreams??? ,,,she was quiet and she never answered me ! Wonderfully she called thes people friends but they have never met or communicated.......πhuo sio urafiki aseee! Tuepuke kudanganya nafsi zetu!
Unapokuwa na rafiki jiulize ni kwa kiasi gani rafiki ako anakusaidia ,,""If a person Calls you a best friend, but also your friend calls him/her a best friend, there is no friendship at all"" --prof. Jahannes Jimmy
Usipoteze mda kutengeneza cheni ndefu ya marafiki, fanya kazi zako kwa ufasaha na huakika wale watu watakaofurahishwa na kuchangamkia kazi zako, tabia yako hao nawe wachangamkie ndio marafiki wa kweli...usutafute muujiza katika hili..,.
Usiangaike kuwa na marafiki wengi...kuwa na marafiki wachache watakaokusaidia...katika kukamilisha ndoto zako
""Your failure may not be your fault but the friends you make"" --President Paul Kagame
Maisha hayako sawa unaocheka nao leo na kufurahia nao leo ndio watakao kusaliti navkukuzomea na kukucheka wakati wa taabu na kuangaika kwako.
Atakayetaka muujiza katika hili angoje yakimpata atajifunza,,,,""people are not as you see them their hearts carry heavy weapons to kill you, except a few""---Dr. John Pombe Magufuri
"Don't waste time with people,use time with people""--Dr. Charles Rafael....ukiona mtu ham-endani kitabia, kielimu, kitamaduni, kiimani,kiuchumi huyo siyo wako angalia namna ya kuwa naye karibu tafuta sababu itakayo kuunganisha nayo...otherwise utakwama.
"Ukiona mtu anakufatilia sana jua kuna moja kati ya mawili, ama anakupenda sana anataka akusaidie awezavyo ufanikiwe katika mambo yako yote....au anakupeleleza ajue uwezo wako ili akuangushe.....Ndugu yangu kuwa makini na watu ulionao urafiki usipoangalia watakukwamisha"
Kuwa na marafiki wanaoendana na mtazamo wako, na ndoto zako ambao wanaweza kukusaidia,,,sio unataka kuwa pastor alafu marafiki zako wachawi,,,ππππ utakwama sana na huwezi kufika.
Mpendwa msomaji tunakushukuru sana kwa kuwa mwana "GLOBAL FAMILY"" iliyo ndani ya SWI GLOBAL COMPANY, tunakuhaidi mambo mengi na mazuri sana kuhakikisha tunaenda sambamba katika kukuwezesha kufikia ndoto zako, TUNAKUMBA UZIDI KUTUFUATILIA tuna mengi mno kwa ajili yako!
Tunaendelea na kuandikisha watu wenye vipaji (TALENTS) mbali mbali kupitia online system, lengo letu ni kuwa support iwezekanavyo ili waweze kufikia ndoto zao,, ni sisi tunaofatilia maendeleo yako mwisho wa usajili utakamilika itakapofika namba ya watu wanaohitajika. USIKOSE FURSA HII HAITATOKEA
TENAπ€π€π€ ...... π CLICK HEREto attend online for your self .
Unaweza ku-comment!, kuuliza Swali lolote na ku-share.
Ni sisi tunaojali mafanikio yako!
Good job professor Schleiden
ReplyDeleteThanks very much SWI GLOBAL COMPANY ..your services are at the top...we believe to make it!ππ
ReplyDeleteTunashukuru sana kwa mbinu mlizo zitoa naanza kuzifanyia kazi sasa Mungu abariki kazi yenu
ReplyDelete