RIPOTI MPYA HALI TANZANIA
TARIFA ZA UTAFITI
Na Prof. Schleiden & Monica Mathias
''Kazi hupatikana kazini''--Prof. Joyce Ndalichako, watu 60,000,000 ndio idadi inayokadiliwa kuwa ndio raia wa Tanzania kufikia februari, 2020. Utafiti ulio fanyika Februari, 2020 unaonyesha kuwa chini ya 25% [yaani watu 15,000,000] ya watanzania wote ni waajiriwa katika sekta mbali mbali za serikali na biafsi ambapo nafasi kubwa ya waajiriwa wote ni walimu na wahudumu wa afya.
Utafiti unaonyesha nchi inajumla ya waajiri chini ya 3% yahani watu karibia 1,800,000] ili ni kundi la wakugurugenzi wa makampuni na wamiliki wa makampuni/ tasisi hawa ndo matajiri wa nchi wanaotoa ajira kwa wananchi.
Pia utafiti unaonyesha 57% [takribani watu 34,200,000] ya watanzania wote wamejiajiri ambapo katika kundi hilo walio wengi ni wakulima, wafugaji na wavuvi, na utafiti unaonyesha kuwa 10% [takribani watu 6,000,000] hawana ajira kabisa yahani wanaweza maliza hata mwezi mzima bila kuingiza hata 30,000/= kama faida ingawa uwezo wa kufanya kazi wanao.
utafiti unaonyesha 5% [karibia watu 3,000,000] nchi nzima ni watu wenye matatizo ya kudumu au ni watoto wachanga sana hivyo wao ni tegemezi 100% hawana uwezo wa kufanya kazi.
Ndugu mwanaafamilia Global Family Foundation imekuletea makala hii adimu, utafiti ili na wewe upate kuona upo upande upi? au kama unasoma una ndoto ya kuwa upande upi lakini pia, namna gani umejipanga kuchangia maendeleo ya nchi yako? Tunaamini kupitia makala hii utaweza kupata kitu kipya, Popote ulipo jiulize nchi yako inaisaidiaje kupiga hatua na jiulize wananchi wangapi unawahimiza wawe kama wewe katika kuleta maendeleo. Tunaomba uwe nasi na kufatilia makala hii, ukihitaji msaada zaidi usisite kutumia anwani zilizopo mwisho wa makala hii. KARIBUNI
KUCHAKATA RIPOTI [REPORT PROCESSING]
1. KUNDI LA KWANZA [WASIO NA AJIRA KABISA]
Kutokana na utafiti huu, pointi za haraka sana ni kwamba wale watu wasio na ajira ila uwezo wa kufanya kazi wanao ni 10% na wale wenye matatizo ya kudumu na hawana ajira 5% jumla wanatengeneza 15% [watu takribani 9,000,000] ya watu ambao hawatoi mchango wa haraka katika maendeleo ya nchi na maendeleo binafsi.
Mwanasaikolojia Dr. David Luck anasema watu wa kundi hili ni kama majani ya mmea yaliyo kosa virutubisho muhimu hivyo mda wowote yanaweza kudondoka kutoka kwa mti. Hili kundi ni la watu walalamikaji, wambea, vibaraka wazuluraji, matapeli, waongo na vibaka, wanocheza magemu asubuhi vijiweni, Mashoga na machangdoa, wavuta bangi, majangili , majambazi na wachawi kiufupi hawa ni watu wanaoweza kulala vibarazani na kushinda njaa, hawa watu hawajui kabisa mbele yao [their future] itakuwaje.
Jambo la kusikitisha ni kwamba zaidi ya nusu ya watu katika kundi hili ni vijana yaani watu wenye miaka 15 mpaka 35 na wanao baki wakiwa wazee na watoto. na Ilionekana hili ni kundi lenye shida sana alafu karibia 90% ya kundi hili ni wapagani yahani hanawa dini yoyote wanayoamini hivyo wao kumaliza miaka 3,4,7 n.k bila kwenda kanisani/msikitini ni jambo la kawaida sana.
Kwa ufupi hawa ni watu waliokata tamaa ya kuishi, hivyo yote wanayofanya, wanatenda tuuu! ili mradi siku ziende hawana maono ya badae.
Kundi hili linahitaji Huduma za karibu sana kama ushauri pamoja na maradhi maana ilionekana hawa watu ndio wanaongoza kujinyonga na kusababisha mauaji, hivyo ni kundi ambalo kwa lugha nyingine linakwamisha maendeleo ya nchi kwa sababu ya kuwa na utegemezi 100%
2. KUNDI LA PILI [WALIO JIAJIRI]
Dr. John Robert anasema kama ni mti kundi hili ni majani, akiwa na maana ya kwamba majani ya mmea ndio hutengeneza chakula cha mmea, mfano ukiyakata majani ya mgomba kila yakichipuka hatimaye mgomba utakauka kwa sababu chakula 97% cha mmea hutengezwa kenye majani.
kwa kweli hili ni kundi msingi kwa nchi yoyote na hili lina watu takribani 34,200,00 kwa Tanzania na walio wengi ni wajasiriamali, wakulima, wavuvi, wafanyabiashara na wafugaji hawa watu wakisema tunaweka mgomo kwa mwezi mzima ndani ya mda kila mtu ataihama nchi maana hawa ndio vyanzo vikuu vya maendeleo ya nchi.
katika kundi hili ndipo kuna walipa kodi ambazo zinatumika kulipa mishahara, kujenga miradi ya nchi na kutoa huduma za jamii, hawa ndio wanazalisha na kusambaza vyakula na vinywaji nchi nzima, hawa ndio wanaweza kushinda njaa shambani ili nchi ipige hatua,,,,,kwa kweli tusaidiane kumwambia Mungu wabariki na awape moyo wa matumaini.
kundi hili limekutana na changamoto kibao na limezizoea mfano ukosefu wa usalama, maji ya kutosha, umeme na usafirishaji pamoja na hayo wanapambana kuleta maendeleo kila kukicha.
hawa ndio wanaweza kuvaa suruali moja kwa wiki ili mtoto aende shule asome, hawa ndio wanaweza kula ugali kwa maji ili watoe kodi serikarini wafanyakazi wapate mishahara kwa wakati, kwakweli kama wewe ni mmoja wa hawa Global Family Foundation inakutakia mafanikio zaidi.
Kundi hili lina watu 90% ambao hawakwenda chuo kikuu hivyo wanatumia ujuzi orijino waliopewa na Mungu katika kupambana, na inasemekana 95% ya wanakundi hili umtanguliza Mungu katika shughuli zao.
3. KUNDI LA TATU [WAAJIRIWA]
Kidogo hili kundi ndio nguvu kazi ya Taifa yahani kama ni mti hawa ndio shina, ndio wanaoshikilia maendeleo ya Taifa, humu ndipo kuna watoa huduma zote nchini kama polisi,dactari, wanajeshi,wabunge,wanasheria walimu, na wengine. ili kundi lina watu takribani watu 15,000,000, na hawa ndio wanaifanya nchi iende mbele.
lakini katika kundi la mamba, kenge hawakosi, kwenye kundi hili ndipo kuna vinara wanakwamisha maendeleo ya nchi kama vile wala rushwa na mafisadi wakubwa na watu hawa ni takribani 5% yaani watu 750,000 ambao wanakosa uaminifu kazini kwao, na hawa ingawa ni wachache ndio wamesababisha baadhi ya makampuni kufa.
Wataalamu wanasema kundi hili liko bize sana mara nyingi kuanzia saa mbili mpaka saa 10 jioni karibia kila siku huwa wapo ofisini, pengine wengine uamka saa 12 alfajiri na kwenda kazini ili saa mbili wawe ofsini na baada ya kazi ufika nyumbani kwenye mida ya saa moja mpaka saa tatu. ili kundi hupata shida sana kwa kutopata mda wa kutosha kukaa na familia. kwa kweli hili ni kundi jema kabisa linalotupigania.
ili ni kundi la wasomi na wataalamu wa nchi, pia 95% humtanguliza Mungu katika kazi zao ila tatizo wengi wao wakisha fanikiwa, mambo ya kusali/ kuswali uachana nayo wakisema wako bize hata siku za ibada uenda ofsini na kuacha kusali kisa wamefanikiwa.
Hili kundi linahitaji kupongezwa sana maana ndio wameshikilia maendeleo ya taifa, hawa wakilala nchi italala, na umasikini utatawala, inamaana hawa watu wakipewa malipo halali na huduma kamili wanafanya kazi kwa dhati ndio maana hata serikali inawapenda sana na kuwajali sana. Wataalamu wanatuusisitiza kamwe tusichoke kuwaombea sana kwa Mungu.popote ulipo tafadhari weka sala/swala kwa ajili yao, hawa wapambanaji.
Mungu awabariki wapambanaji wetu
4. KUNDI LA NNE [MATAJIRI/WAAJIRI]
Basi kama ni mmea hii ndio mizizi yahani hawa ndio wameshikiria kila kitu kwenye nchi, na kundi hili ni pamoja na wakurugenzi, viongozi wakubwa wa serikali, wamiliki wa makampuni na tasisi na viongozi wa dini.
hili kundi lina watu takribani 1,800,000 nchi nzima, ndio wanaoshikiria mifumo yote nchini, ndio wanao weza kutoa ajira pia hawa ndio wana maono makubwa hivyo kuwahimiza wananchi kuona mbali na kuwashawishi kufanya kazi kwa dhati, ili kuleta maendeleo.
Kundi hili ni la watu wenye maisha mazuri, wanaweza kupata karibia kila wanachohitaji kwa wakati, lakini ni watu ambao wako bize sana na kazi nyingi, waheshimiwa hawa wao kwa siku kulala masaa manne ni jambo la kawaida sana, wengine wamefungwa kwa ratiba kali yaani kila siku mwezi mzima lazima awepo ofsini ili shughuli ziende.
pamoja ubize wote, hii ni nafasi nzuri sana, mtu akiwepo hapa familia yake itaishi vizuri, wazazi wake, ndugu zake, jamii yake itaishi vizuri, 80% ya kundi hili ni watu wenye Roho nzuri sana majanga yakitokea huwa tayari hata kutumia mali zake ili kutatua tatizo, kwakweli hii nafasi ni adimu kuipata pamoja na changamoto zake ina baraka nyingi maana wananchi huwapenda sana watu hawa kwa sababu ya huduma zao nzuri.
90% ya watu hawa ni wasomi wakubwa, na pia 99% ya watu hawa humtanguliza Mungu katika mambo yote na huwahimiza watu kuishi kadiri ya njia za Mungu.
Kama wewe ni mfanyakazi angalia upo kundi lipi na angalia kama linakufaa kama sivyo chukua hatua, tunaamini mafanikio hyaji kwa bahati nasibu ila ni kwa ushirikiano na mapambano ya usiku na mchana.
kama bado unasoma huu ndio wakati mzuri wa kupambana na kujua uwe kwenye kundi lipi? ikumbukwe kusoma sio kufaulu kuna watu wanaendesha makampuni makubwa ila hawakuwahi soma chuo kikuu kama vile Diamond Platnumz[Wasafi Media Group], Said Salim Bakhresa [Azam group of Companies] hivyo usipende kukomaa na vitabu bila kufatilia hali zikoje mtaani, Lengo letu ni kutengeneza Tanzania Mpya na Africa mpya lakini na Dunia Mpya, penye ushirikiano yote yanawezekana.
πasante, karibu tenaπ
MPENDWA GLOBAL FAMILY FOUNDATION INAJALI MAFANIKIO YAKO
TUNAZIDI KUKUSHUKURU KUENDELEA KUWA NASI
⌚#ISHI NDOTO YAKO LEO⏰
Tunaendelea na kuandikisha watu wenye vipaji (TALENTS)mbali mbali kupitia online system, lengo letu ni kuwa support iwezekanavyo ili waweze kufikia ndoto zao,, ni sisi tunaofatilia maendeleo yako mwisho wa usajili utakamilika itakapofika namba ya watu wanaohitajika. USIKOSE FURSA HII HAITATOKEA
TENAπ€π€π€ ...... π CLICK HEREto attend online for your self .
Unaweza ku-comment!, kuuliza Swali lolote na ku-share.
Ni sisi tunaojali mafanikio yako!
TENAπ€π€π€ ...... π CLICK HEREto attend online for your self .
Unaweza ku-comment!, kuuliza Swali lolote na ku-share.
Ni sisi tunaojali mafanikio yako!
Dear readers,
ReplyDeleteTry as you can to rescue the dependent group..