Kubadilika siri ya kufanikiwa

KUBADILIKA  NI  KUFANIKIWKUFANIKIWA

Na Prof. Schleiden & Monica Mathias

 "Who ever is not ready to change, can never bring any positive change" ni kauli aliyoitoa Rais wa Marekani Barack Obama. ...Ukienda mtaani unauliza nini maana ya "Kubadilika"  utapata tafsiri kibabao zenye mantiki inayaonyesha kuacha jambo moja na kuanza lingine, ni mara kadhaa utasikia kauli hizi "mwanangu siku hizi umebadilika.....", mfanyakazi amebadilika...", nimebadilisha...'' Hivyo sasa kubadilika kuna uhusiano wa moja kwa Moja kwenye kuachana na jambo moja na kuanza/kuendelea na lingine.

Kubadilika: Ni kitendo cha mtu Kuwa na mtazamo tofauti katika jambo ambalo lilionekana la maana sana, na kuwa na Mtazamo chanya zaidi. 

Kuna aina mbili za mabadiliko
1. Mabadiliko Chanya : hiki ni kitendo cha mtu kuacha jambo baya na kuanzakufanya jambo jema au ni kitendo cha mtu kuacha jambo jema ambalo lina faida kidogo na kufanya jambo lenye manufaa zaidi na faida kubwa. Mfano Mfano kupunguza kuhonga wanawake na kufanya uwekezaji.

2. Mabadiliko Hasi; hiki ni kitendo cha mtu kuacha jambo jema na kufanya jambo baya au kuacha jambo lenye faida zaidi na kufanya jambo lenye faida kidogo. Mfano kutumia fedha za mkopo kununua vyakula na nguo za kitajiri badala ya kufanya shughuli za kuongeza kipato.

Hakuna jambo litokealo bila sababu na hivyo kubadilika hotokea kwa sababu na mabadiliko ndio huwa chanzo cha mafanikio kwa Mtu Yeyote hii ikiwa na maana kwamba maendeleo makubwa kote duniani hutokana na utayari wa kubadilika na maendeleo makubwa katika uso wa nchi yametokana na watu ambao walikuwa tayari kubadilika,
Kuna watu wanakuwa tayari kubadilika kwa wenyewe lakini pia kuna watu wanahitaji nguvu ya ziada ili kuweza kubadilika ...mfano Mwalimu hulazimika kutumia kiboko kumbadilisha mwanafunzi,,,serikali hutumia Magereza kuwabadilisha wananchi wasiotii sheria,,,,Jeshini adhabu hutumika kuwabadilisha wanajeshi wasofata taratibu....

**kubadilika sio jambo dogo kama tanavyo weza kulichukulia lina hitaji maandalizi na misingi imara, ikiwa ni pamoja na kujitambua na kuweka malengo imara kwenye maisha kwa kuwa na mtazamo chanya.

Mpendwa msomaji siku zote kuwa tayari kubadika, kuwa tayari kuwa na mtazamo mpya kwa shughuli zako, kuwa na tabia ya kuwa na mda wa kujitafakari hakika utagundua  fursa nyingi zilizo mbele ako, na hapo ndipo mafanikio yatatokea.,....Juhudi bila maarifa uchelewesha mafanikio pia kupambana bila kuwa tayari kubadilika huchelewesha mafaniko.

"A body in motion contines in motion unless acted by an external force" by Isaac Newton. Mtu anayetaka kufanikiwa sio mtu wa kungoja kusukumwa ndo abadilike ... Ukitambua thamani ya maisha yako utakuwa tayari kubadilisha mtazamo.

Kubadilika kunahitaji mazingira mazuri ikiwa ni pamoja na falsafa ya hisabati ili uwezo kutumia akili za uwiano na fumulara mfuatano (logic) ili kutengeneza ramamani nzuri ya kuyafikia mafanikio na ndoto zako za maisha.

Badilika leo jenga maisha yako, Kuwa na mtazamo chanya kwa kila kitu , fanya kila kitu kwa sababu, chunga fikra, na jenga maarifa zaidi katika  juhudi na hayo yote yatakufikisha kwenye MAFANIKIO.
KUBADILIKA NDIO KUTAKUFIKISHA KWENYE MAFANIKO 

MABADILIKO CHANYA  MAFANIKO CHANYA




Tunaendelea   na    kuandikisha watu wenye vipaji  (TALENTS) mbali mbali kupitia online system,  lengo letu ni kuwa support  iwezekanavyo ili waweze kufikia ndoto zao,, ni sisi tunaofatilia maendeleo yako mwisho wa usajili  utakamilika itakapofika namba ya watu wanaohitajika.  USIKOSE FURSA HII HAITATOKEA

 TENA🎀🎀🎀 ...... πŸ‘‰ CLICK HEREto attend online  for your self .

Unaweza  ku-comment!, kuuliza Swali lolote na ku-share.

Ni sisi tunaojali mafanikio yako!



CONTACTS:
phone call:  +255747787796
WhatsApp: Just clickπŸ‘‰ HERE   To automatically open whatsApp online service
Website: πŸ‘‰Click HERE    To open the Site


Email: πŸ‘‰ Click Here









Comments

  1. It's a big and wonderful work..
    Just keep it up

    ReplyDelete
  2. It's a big and wonderful job..
    Just keep it up

    ReplyDelete
  3. It's a big and wonderful job..
    Just keep it up

    ReplyDelete
  4. Thanks a lot GLOBAL FAMILY....we expect a lot from you

    ReplyDelete
  5. Prof. Schleiden I appreciate you a lot..I'm prepared for CTI projectπŸ™πŸ™

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

HISTORIA YA SAID SALM BAKHRESA

MAMBO YALETAYO FURAHA YA KWELI MAISHANI

MBINU KUU 4 ZA KUWA MBUNIFU KITAALAMU ZAIDI