Posts

NJIA RAHISI YA KUISHI NDOTO ZAKO

Image
ISHI  NDOTO YAKO LEO  Prof. Schleiden & Monica  Mathias Watu wote Duniani uwa na mawazo tofauti tofauti, na hivyo watu huwa na matamanio ya kumiliki vitu fulani fulani, au kuwa katika vyeo na hali fulani, mfano mtu anaweza kuwa na matamanio ya kuwa mwanamziki mkubwa, kuwa kiongozi mkubwa, kumpata mchumba mwema, kumiliki magari ya kifahari, kuwa na nyumba nzuri, kuwa saidia watu wasiojiweza, kuwa na mpenzi mwaminifu n.k  chini ya 15% ya watu wote duniani, ndio walioweza kuwa na matamanio ya vitu mbali mbali vikubwa na hatimaye wakayafikia matamanio yao yahani NDOTO zao kwa wakati sahihi, ila watu walio wengi duniani matamanio yao huyafikia kwa taabu sana na wengi wao huishia katika matamanio tu, kwa sababu ya kushindwa kujua nini la kufanya na namna gani ya kufanya na wakati gani, na hivyo hiyo kuwa sababu ya watu wengi kushindwa kufikia ndoto zao. Chukua mda kuyatafakari maisha yako ya badae, na kuona namna gani unapambana kuyafikia. Mpendwa mwanafamilia, Glob

RIPOTI MPYA HALI TANZANIA

Image
TARIFA  ZA  UTAFITI  Na Prof. Schleiden & Monica Mathias ''Kazi hupatikana kazini'' --Prof. Joyce Ndalichako, watu 60,000,000 ndio idadi inayokadiliwa kuwa ndio raia wa Tanzania kufikia februari, 20 20 .  U tafiti ulio fanyika Februari, 2020 unaonyesha kuwa chini ya 25%  [yaani watu 15,000,000] ya watanzania wote ni waajiriwa katika sekta mbali mbali za serikali na biafsi ambapo nafasi kubwa ya waajiriwa wote ni walimu na wahudumu wa afya. Utafiti unaonyesha nchi inajumla ya waajiri chini ya 3% yahani watu karibia 1,800,000]   ili ni kundi la wakugurugenzi wa makampuni na wamiliki wa makampuni/ tasisi hawa ndo matajiri wa nchi wanaotoa ajira kwa wananchi. Pia utafiti unaonyesha 57% [takribani watu 34,200,000 ] ya watanzania wote wamejiajiri ambapo katika kundi hilo walio wengi ni wakulima, wafugaji na wavuvi, na utafiti unaonyesha kuwa 10% [takribani watu 6,000,000 ] hawana ajira kabisa yahani wanaweza maliza hata mwezi mzima bila kuingiza hat

HISTORIA YA SAID SALM BAKHRESA

Image
BILIONEA NAMBA 3 TANZANIA Na Prof.Schleiden & Monica Mathias ''Nilishona viatu kariakoo, Nililala kibarazani''-- Bakhresa , Ndugu mwanafamilia kumbe kwenye maisha kila kitu kinawezekana, kamwe usimdharau Mtu, hata kama leo anafanya kazi ya chini kiasi gani! kwakweli, tumeamini mambo yanabadirika,  mtu unayemcheka na kumsimanga leo kwenye tasisi / kiwanda baada miaka ndo atakuwa boss wako. huwezi amini Bakhresa miaka ya  1957 aliyeonekana masikini wa kupindukia mpaka akaamua kuacha shule akiwa na miaka 14 lakini leo 2020  watu zaidi ya 5,000,000 [Milioni 5] katika nchi 5 wanategemea makampuni yake ili kuendelea kuishi! Mpendwa mwanafamilia wa Global Family Foundation sisi ndio tunaojali mafanikio yako, siku ya leo tumekuletea bilionea orijino wa kitanzania ambaye maisha yake yalikuwa magumu vibaya sana, yahani ambaye nyumbani kula ilikuwa bahati nasibu kwa miaka ya 1950, lakini kwa leo ni moja ya mashujaa 3 kati ya watanzania zaidi ya 59,000,000 (Milio

FUNZO KUU LA KUFANIKIWA ATOA JACK MA

Image
BILIONEA  MBUNIFU ZAIDI WA KICHINA Na Prof.Schleiden  &   Monica Mathias ➻ Jack  Ma   hakuwa mtu mwenye akili nyingi sana , alikataliwa alidharaulika, alichekwa sana katika maisha yake ya mwanzoni, lakini leo hii ukiwa unahesabu matajiri  wakubwa Duniani ni kosa la jinai kumsahau Jack Ma  bila shaka wewe kama ni mtumiaji wa internet basi wewe sio mgeni kusikia neno 'ALIBABA' Leo hii ni moja ya makampuni 20 makubwa sana Duniani, mwanzilishi na mmiliki ni Jack Ma Kumbuka China ina zaidi ya Raia Bilion 1.3 yaani 1,300,000,000 na Jack Ma ndo Tajiri namba moja hapo sasa ujue alitumia ubunifu kiasi gani............ ⟴ Global Family Foundation Imekuletea historia ya Bilionea huyu ili kukuonyesha mtu anayetafuta kufanikiwa maishani namna gani inabidi awe, tukiwa na maana utajiri / mafanikio ya kweli hayaji kwa bahati nasibu, 🔜Karibu sana tuna matumaini utajifunza kitu. "" Kama unataka kufanikiwa huna budi kufatilia historia za watu waliofanikiwa""