Posts

Showing posts from April, 2020

MBINU KUU 4 ZA KUWA MBUNIFU KITAALAMU ZAIDI

Image
DIRA YA MAFANIKIO Na Prof.Schleiden  &   Monica Mathias Katika maisha yote, mtu yeyote ili kufanikiwa ni lazima kuwa na ubunifu kwa kiwango cha juu, kutokana na ubunifu tunaweza kuongeza wateja katika biashara, tunaweza kugundua mashine mpya na kuongeza uzalishaji, tunaweza kutumia nguvu kidogo katika kufanya kazi kubwa, tunaweza kufaulu katika mitihani, unaweza kupata mchumba afaaye, n.k.... Mataifa makubwa kiuchumi Duniani ndiyo mataifa yanayoongoza katika idadi ya wabunifu,Rais mstaaf Barack Obama ananukuliwa '''In order to conquer the  world we must first encourage creativity among the USA citizens' '---2013 [Ili tuweze kutawala kidunia ni lazima kwanza tuchochee ubunifu zaidi kwa wananchi wa Marekani] Ni imani yetu tukiongeza ushawishi katika kuchochea ubunifu katika waafrica hasa watanzania ndio itakuwa moja ya sababu kubwa ya kimaendeleo na kufutilia mbali utegemezi tulio nao, mfano; Tanzania ni moja kati ya mataifa 20 Duniani kwa k

MAANA SAHIHI YA UBUNIFU

Image
MSINGI  WA  UGUNDUZI Na Prof.Schleiden  &   Monica Mathias UBUNIFU   ni kitendo cha kutumia njia mpya zilizo bora zaidi katika kutatua changamoto husika [yahani kujua ufanye nini? kivipi? na wapi?], na haimaanishi tu kuja na wazo au kitu kipya kaabisa, ila pia maana ya kutumia njia ya kawaida katika kufanya jambo na kuiongezea ubora zaidi na kuifanya kuleta matunda zaidi .... ''Mama kati ya yai na kuku kipi kilianza? Rose aliuliza, mama akawa anawaza nikimwambia ni kuku ataniuliza mbona vifaranga wanatoka kwenye mayai? pia mama akafikiria nikisema ni yai ataniuliza mbona kuku ndo wanazalisha mayai?  mama akakosa  jibu akamwambia ukifika la saba mwalimu atakufundisha.......... Stori  hii inatuonyesha namna gani Rose alikuwa mbunifu anataka ajue kipi kinategemea kingine?ndugu msomaji vyivo hivyo kwenye maisha kuna vitu tunapaswa tujue ili tupate kupiga hatua zaidi mbele,,, Benjamin Ferdinandes aliwahi kusema "Maisha  ya mtu ni chembe chembe ndogo za mat

NGUZO KUU 8 ZA MAFANIKO KATIKA JAMBO LOLOTE

Image
MAFANIKIO YAKO FURAHA YAKO Na Prof. Schleiden & Monica Mathias "We are born for winning, never for_losing"_ ni_Kauli_ya_Mohammed_Dewij . Hakuna binadamu Yeyote aliyeko duniani kwa bahati mbaya! Kila mtu yupo kwa sababu maalumu tofauti na mwingine ndio maana kila mtu ana finger print" ya kitofauti kabisa! Na hivyo hii inaashiria wewe una lengo lako la kuwepo Dunian tofauti kabisa na mtu mwingine yeyote yule. (Ni kwa namna gani unauishi utofauti wako?....utofauti wako ni nini?.....una uhakika gani katika hilo?,,,,,,, usiteseke  nitakufunulia yote hapa,,,,umezaliwa kwa ajili ya ushindi!👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Mafanikio ni hatua ambayo mtu huwa amefikia ukamilifu wa natarajio yake katika jambo fulani, ambapo hatua hii umwezesha kuwa na furaha na ukamilifu kimwonekano (physically) na kifikra (mentally) na Kiroho (spiritually). Duniani kila mtu anataka kufanikiwakufurahi na hivyo kila mtu hujishughylisha katika jambo flani ili aweze kufanikiwa n

Kubadilika siri ya kufanikiwa

Image
KUBADILIKA  NI  KUFANIKIWKUFANIKIWA Na Prof. Schleiden & Monica Mathias  "Who ever is not ready to change, can never bring any positive change" ni kauli aliyoitoa Rais wa Marekani Barack Obama. ...Ukienda mtaani unauliza nini maana ya " Kubadilika"  u tapata tafsiri kibabao zenye mantiki inayaonyesha kuacha jambo moja na kuanza lingine, ni mara kadhaa utasikia kauli hizi "mwanangu siku hizi umebadilika.....", mfanyakazi amebadilika...", nimebadilisha...'' Hivyo sasa kubadilika kuna uhusiano wa moja kwa Moja kwenye kuachana na jambo moja na kuanza/kuendelea na lingine. Kubadilika: Ni kitendo cha mtu Kuwa na mtazamo tofauti katika jambo ambalo lilionekana la maana sana, na kuwa na Mtazamo chanya zaidi.  Kuna aina mbili za mabadiliko :  1. Mabadiliko Chanya   : hiki ni kitendo cha mtu kuacha jambo baya na kuanzakufanya jambo jema au ni kitendo cha mtu kuacha jambo jema ambalo lina faida kidogo na kufanya jambo lenye manufaa zai