Posts

KIJANA MIAKA 18-35 USIKOSE HII

Image
,MAMBO MUHIMU AMBAYO KIJANA ANATAKIWA KUFANYA           Na Prof. Schleiden & Monica Mathias Katika maisha ya binadamu hakuna kipindi kigumu sana kama kipindi cha miaka 20 mpaka  30 kipindi hiki ndio kipindi chenye utata, hapa kijana anaweza kujenga maisha yake au kuyabomoa na walio wengi wanaanguka hapa, lakini pia wengi huanza kufanikiwa kuanzia hapa wote kutegemeana uwezo wao na maono yao yalivyo. ikumbukwe katika miaka 20-30 kijana  ndipo anakuwa anamaliza elimu ya sekondari, ndipo ana anakuwa chuo kikuu , ndipo anaingia kwenye mahusiano ya mapenzi , ndipo anahitimu chuo kikuu, ndipo anaangaika kutafuta ajira , ndipo ana kuwa na mchumba pia ndio kipindi wengine huanza maisha ya kujitegemea kuacha familia za wazazi, wengine hufunga ndoa hapa, pia hiki ni kipindi kijana anaanza kutegemewa na familia ya wazazi wake na jamii. Kwakweli kipindi hiki sio cha mchezo ni kipindi cha kutumia akili nyingi na ushauri mwingi wanao kichukulia poa kinawaachaga vinywa wazi ma

NJIA RAHISI YA KUISHI NDOTO ZAKO

Image
ISHI  NDOTO YAKO LEO  Prof. Schleiden & Monica  Mathias Watu wote Duniani uwa na mawazo tofauti tofauti, na hivyo watu huwa na matamanio ya kumiliki vitu fulani fulani, au kuwa katika vyeo na hali fulani, mfano mtu anaweza kuwa na matamanio ya kuwa mwanamziki mkubwa, kuwa kiongozi mkubwa, kumpata mchumba mwema, kumiliki magari ya kifahari, kuwa na nyumba nzuri, kuwa saidia watu wasiojiweza, kuwa na mpenzi mwaminifu n.k  chini ya 15% ya watu wote duniani, ndio walioweza kuwa na matamanio ya vitu mbali mbali vikubwa na hatimaye wakayafikia matamanio yao yahani NDOTO zao kwa wakati sahihi, ila watu walio wengi duniani matamanio yao huyafikia kwa taabu sana na wengi wao huishia katika matamanio tu, kwa sababu ya kushindwa kujua nini la kufanya na namna gani ya kufanya na wakati gani, na hivyo hiyo kuwa sababu ya watu wengi kushindwa kufikia ndoto zao. Chukua mda kuyatafakari maisha yako ya badae, na kuona namna gani unapambana kuyafikia. Mpendwa mwanafamilia, Glob

RIPOTI MPYA HALI TANZANIA

Image
TARIFA  ZA  UTAFITI  Na Prof. Schleiden & Monica Mathias ''Kazi hupatikana kazini'' --Prof. Joyce Ndalichako, watu 60,000,000 ndio idadi inayokadiliwa kuwa ndio raia wa Tanzania kufikia februari, 20 20 .  U tafiti ulio fanyika Februari, 2020 unaonyesha kuwa chini ya 25%  [yaani watu 15,000,000] ya watanzania wote ni waajiriwa katika sekta mbali mbali za serikali na biafsi ambapo nafasi kubwa ya waajiriwa wote ni walimu na wahudumu wa afya. Utafiti unaonyesha nchi inajumla ya waajiri chini ya 3% yahani watu karibia 1,800,000]   ili ni kundi la wakugurugenzi wa makampuni na wamiliki wa makampuni/ tasisi hawa ndo matajiri wa nchi wanaotoa ajira kwa wananchi. Pia utafiti unaonyesha 57% [takribani watu 34,200,000 ] ya watanzania wote wamejiajiri ambapo katika kundi hilo walio wengi ni wakulima, wafugaji na wavuvi, na utafiti unaonyesha kuwa 10% [takribani watu 6,000,000 ] hawana ajira kabisa yahani wanaweza maliza hata mwezi mzima bila kuingiza hat