Posts

Showing posts from July, 2020

MAMBO 8 YAKUTOCHUKULIA POA,, KUKWEPA UMASIKINI,,,''wengi wamepotea''

Image
UMEZALIWA KUSHINDA!         Na Prof.Schleiden  &   Monica Mathias Kwenye  Malengo ya kifedha watu wengi hutamani kuwa matajiri kwa kiasi kwamba kuwa na pesa za kutosha ili kupata kitu chochote wanachohitaji kwa wakati wowote,  yahani mtu kupata chakula anachotaka, nguo anazotaka, kusafiri popote anapotaka,kuwa na nyumba yakifahari, kununua gari la aina yoyote anayotaka bila kuwa na shaka na wasi wasi yoyote, wengine matamanio yao yanaenda mbali  mpaka kutamani kununua ndege binafsi,kumiliki makampuni makubwa, na mengine kabambe . Ila walio wengi huishia kwenye matamanio tu bila kufikia ndoto zao. '' masikini [ kiuchumi]  ni  mtu ambaye ana upungufu katika mahitaji yake ya msingi ili kuendelea kuishi, hivyo ni mtu anahitaji nguvu ya ziada kutoka nje ya uwezo wake binafsi ''     hatuwezi kumwongelea masikini kama hakuna tajiri hivyo basi ....... '' Tajiri[kiuchumi]  ni mtu ambaye anaweza kupata kitu chochote anachotaka/hitaji kwa wakati

MFAHAMU FLAVIANA MATATA MPAMBANAJI TOP

Image
MPAMBANAJI  MSHINDI Na prof.schleiden & Monica Mathias ''Mstakabali wa maisha ya mtu huwa ni kwa namna gani umelelewa''    Ni huzuni sana Flaviana Matata alimpoteza mama ake mpendwa katika hajali ya MV BUKOBA iliyotokea 1996,  kwakweli hili lilikuwa pigo kubwa sana kwake na ilionekana ingekuwa sababu ya kupoteza matumaini kwenye maisha kwa hiyo alilelewa na baba tu na kuyakosa mapenzi ya mama. alisoma chuo cha Arusha [Arusha Technical College] Aliwaza kuwa injinia lakini kwa sababu ya maisha magumu mwaka 2007 alianza umisi na ndoto ya uinjinia ikafa. iliwashangaza sana watu kuona mtu aliyewaza uinjinia anaanza umisi lakini ndiyo iliyo kuwa ndoto yake kubwa tangu zamani. Global  Family  Foundation   imekuletea maisha ya mwanadada hasa kwa wapambanaji wote wanaotaka kufanikiwa , kuona ni namna gani mafanikio ya kweli yanaweza kuja, mwanadada huyu awe mfano wa kuigwa na kila mtu apate kujipongeza kwa kutoa mchango wa maendeleo nchini kwake .