Posts

ACADEMY MEMBERSHIP ONLINE APPLICATION For VISION ENTREPRENEURSHIP ACADEMY AT MUST

Image
New🌄 Vision Entrepreneurship Academy is an entrepreneurial platform that deals with Creative imagination, Business Plan methodologies, Business Capital structuring, Business idea formulation, implementations and funding, Leadership skills, Managerial Economics, Business Management, Strategic Management and planning, Computer skills Plus other more. The academy operates at MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCES AND TECHNOLOGY. Click below to apply for membership Now!! CLICK HERE TO APPLY Kindly to apply for membership, fill the online form with your correct information ℹ️ Welcome!

MAKUNDI YA BINADAMU, SAIKOLOJIA

New🌄SAIKOLOJIA : PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YA TABIA ZA BINADAMU. Wataalam wa mambo ya saikolojia na maumbile wamezisoma tabia mbalimbali za binadamu na hatimaye wamewagawanya binadamu katika makundi makuu manne yenye kategoria kuu mbili. Kategoria hizo ni 1.      Introvant: watu wenye uwezo mkubwa kiakili na wanaotafakari mambo kwa kina                  hapa kuna makundi mawili 1.Melancolin           2. Fragmetic 2.      extrovants: wana uwezo wa kawaida kiakili na hawana tafakari za kina katika mambo yao Hapa kuna makundi mawili 1. Sanguine         2. Colerick Na sasa tuangalie tabia za kila kundi na mienendo yao 1.MELANCOLIN Watu wa kundi hili (females and males) wana sifa zifuatazo -wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient) -ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi -wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu -ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi -wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati -Wanawajali sana wenzao hasa w

Sifa za Mwanamke afaaye kuwa MKE Mwema.

Image
New 🌄 Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. UPENDO WA DHATI Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzunguka. Tabia ya upendo

IDEA PRESENTERS ONLINE REGISTRATION

Image
HABARI NJEMA Chuo kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kupitia NDAKI YA MASOMO YA BIASHARA NA INSIA  kinatangaza habari  njema kwa wanafunzi wote na wadau wote nje ya MUST; Kuwa Jumatano ,  20.01.2021 itakukuwepo  sherehe kubwa Sana ifaamikayo Kama MANAGERS' DAY, ambayo hutokea Mara moja tu kwa mwaka. Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW MANAGERS'DAY Ni nini?  Hii Ni siku maalum ambapo wakurugenzi wa makampuni makumbwa toka pande nyingi za Tanzania hualikwa kufika kafika Chuo kikuu Cha Sayansi na Teknonolojia (MUST) ( The home of science ) kwa lengo Zima la ku-motivate , ku-insipire , kutangaza fursa mbalimbali za kiuchumi zilizopo, kufadhiri wanafunzi wabunifu, ku-support wanavyuo wenye mawazo mbali mbalimbali ya kibiashara ama kisayansi na zaidi ya yote kubadilishana mawazo na wanavyuo kwa kuwapa mtazamo kamili wa maisha hasa katika sekta ya kuajiriwa na kujiajiri. Click here to register your business/scientific/innovation idea NOW Nini Asi

Today's Tip!

Image
" Nyuma ya mwanaume aliyefanikiwa, Kuna mwanamke mwenye hekima na burasa Sana na mbele ya mwanamke aliyefanikiwa Kuna Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli"" ✍️✍️To God everything good, come on time....be patient 💫💫 GLOBAL FAMILY FOUNDATION provides you what you deserve 📡📡

MAMBO YALETAYO FURAHA YA KWELI MAISHANI

Image
MAFANIKIO CHANZO CHA FURAHA Na Prof. Schleiden & Monica Mathias ''Dunia ni mapito'' --- T.B Joshu a , Duniani kote kila mtu huishi mara moja tu hakuna mtu yeyote aliyewahi kufariki alafu akazaliwa tena, ukimuuliza mtu yeyote maana ya maisha uwezi kamwe kupata jibu moja ila kwa ufupi maisha yako yapo akilini mwako kwahiyo unavyo yaona ndivyo yalivyo,na unachowaza na kufanya ndicho kinayafanya maisha yako kuwa hivyo. unaweza kusema maisha magumu hamna hela lakini ukiangalia kwenye vyombo vya habari utasikia msanii fulani kanunua Ghorofa la Bilioni tatu yaani wakati wewe uko hoi hata milioni 10 ni ya kufikirika, kwa hiyo hatuwezi kuwa na maana MOJA ya maisha [ USIKOSE MAKALA IJAYO MUHIMU INAYOITWA  LIFE SECRETS [SIRI ZA MAISHA] NI IMANI YETU UTAFAHAMU MAISHA NI NINI KWA KIREFU ] Katika makala ijayo tutakuonyesha thamani ya maisha yako, utajiri ulio nao, sababu za ushindi wako....n.k Furaha ndio msingi mkubwa wa maisha ya Mtu yeyote, na hivyo shughuli zote

Mwajiriwa ni mtumwa....

Usisome ukitegemea Kuajiriwa, bali soma ili kutengeneza ajira.... Kuajiriwa sio vibaya lakini  unapo kuwa kwenye ajira,una kuwa kama Mtumwa chochote anachotaka  mwajiri wako itabidi ufanye ama kupoteza kazi..... (((TENGENEZA AJIRA )))