Posts

Showing posts from August, 2020

MAMBO YALETAYO FURAHA YA KWELI MAISHANI

Image
MAFANIKIO CHANZO CHA FURAHA Na Prof. Schleiden & Monica Mathias ''Dunia ni mapito'' --- T.B Joshu a , Duniani kote kila mtu huishi mara moja tu hakuna mtu yeyote aliyewahi kufariki alafu akazaliwa tena, ukimuuliza mtu yeyote maana ya maisha uwezi kamwe kupata jibu moja ila kwa ufupi maisha yako yapo akilini mwako kwahiyo unavyo yaona ndivyo yalivyo,na unachowaza na kufanya ndicho kinayafanya maisha yako kuwa hivyo. unaweza kusema maisha magumu hamna hela lakini ukiangalia kwenye vyombo vya habari utasikia msanii fulani kanunua Ghorofa la Bilioni tatu yaani wakati wewe uko hoi hata milioni 10 ni ya kufikirika, kwa hiyo hatuwezi kuwa na maana MOJA ya maisha [ USIKOSE MAKALA IJAYO MUHIMU INAYOITWA  LIFE SECRETS [SIRI ZA MAISHA] NI IMANI YETU UTAFAHAMU MAISHA NI NINI KWA KIREFU ] Katika makala ijayo tutakuonyesha thamani ya maisha yako, utajiri ulio nao, sababu za ushindi wako....n.k Furaha ndio msingi mkubwa wa maisha ya Mtu yeyote, na hivyo shughuli zote

Mwajiriwa ni mtumwa....

Usisome ukitegemea Kuajiriwa, bali soma ili kutengeneza ajira.... Kuajiriwa sio vibaya lakini  unapo kuwa kwenye ajira,una kuwa kama Mtumwa chochote anachotaka  mwajiri wako itabidi ufanye ama kupoteza kazi..... (((TENGENEZA AJIRA )))